Kwa kazi aliyoifanya kwenye CHOMVA 2012, AY anastahili mapokezi kama haya. Welcome back home boy.AY hapa alipokelewa na mashabiki wake wengi, hapa akicheza ngoma ya asili baada ya kushinda tuzo ya (Most Gifted African East ) AY feat Sauti Soul – I Don’t Want to Be Alone.Picha kwa hisani ya Bongo5
0 Comments:
Post a Comment