Mwanamuziki
kutoka nchini Marekani Rick Ross akiimba jukwaani usiku huu mbele ya
maelfu ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake kwenye viwanja vya
Lidaz Club,wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta likirindima.
Mkurugenzi
wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti SBL Bw Ephraim Mafuru
akitangaza mshindi wa bahati nasibu ya magari mawili kwa mkoa wa Dar es
salaam iliyoendeshwa katika matamasha yote ya Serengeti Fiesta mwaka huu
kutoka kulia ni Bw. Mrisho kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha ,
Rugambo Rodney Meneja masoko wa Push Mobile na kushoto ni Mkurugenzi wa
Clouds Entarteinment Bw Joseph Kusaga wakishuhudia tukio hilo
Mzee wa Masharobaro.

nyomi.
Mzee wa Kufloo,Godzilla
Pichani kati ni msanii Shetta akiliongoza kundi lake vilivyo.
Diamond The Platinum pichani kati wakilishambulia jukwaa la fiesta na madansa wake.
madensa wa Ommy Dimpo wakifanya vitu vyao.
Mzee wa Madipo pozi kwa pozi a.k.a Ommy Dimpo jukwaani.
Linex
Msanii wa bongofleva Amin na densa wake wakitumbuiza jukwaani.
Ulikuwa ni usiku wa kujiachia tuu na The Big Boss Rozzay.
Mzee wa Masharobaro.

nyomi.
Mzee wa Kufloo,Godzilla
Pichani kati ni msanii Shetta akiliongoza kundi lake vilivyo.
Diamond The Platinum pichani kati wakilishambulia jukwaa la fiesta na madansa wake.
madensa wa Ommy Dimpo wakifanya vitu vyao.
Mzee wa Madipo pozi kwa pozi a.k.a Ommy Dimpo jukwaani.
Linex
Msanii wa bongofleva Amin na densa wake wakitumbuiza jukwaani.
Ulikuwa ni usiku wa kujiachia tuu na The Big Boss Rozzay.
Mkali mwingine wa miduara AT na madansa wake wakilishambulia jukwaa.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Recho akiimba jukwaani na shabiki wake.
Mashabiki wakitaka kuangusha uzio uliowekwa kwa ajili ya usalama.
Baadhi
ya Askari wakijaribu kuweka usalama wa kutosha kwa Mwanamuziki Rick
Ross imara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Lidaz Club,kwa ajili ya
kutumbuiza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 201.
Viwanja vya Lidaz palikuwa hapatoshi hata kidogo.
Mwanamuziki
kutoka nchini Marekani,Rick Ross akijisikia furahaa kuwaona Watanzania
wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwa ajili ya kumshuhudia yeye akikamua
stejini.
Watu kibao wakiwa ndani ya viwanja vya lidaz club usiku huu.
Msanii
wa miondoko ya rusha rohoo a.k.a Miduara,Shilole akijiachia jukwaani
vilivyo na madansa wake usiku huu mbele ya umati mkubwa uliofika kwenye
viwanja vya Lidaz Club,katika kuhitimisha kilele cha tamasha la
Serengeti Fiesta 2012.
Source:http://fiesta2012.co/



























