Monday, October 8, 2012

Rick Ross “The BOss” awakubali wabongo..! wanamuelewa..!

 
 
 Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Rick Ross akiimba jukwaani  usiku huu mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake kwenye viwanja vya Lidaz Club,wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta likirindima.
 Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti SBL Bw Ephraim Mafuru akitangaza mshindi wa bahati nasibu ya magari mawili kwa mkoa wa Dar es salaam iliyoendeshwa katika matamasha yote ya Serengeti Fiesta mwaka huu kutoka kulia ni Bw. Mrisho kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha , Rugambo Rodney Meneja masoko wa Push Mobile na kushoto ni Mkurugenzi wa Clouds Entarteinment Bw Joseph Kusaga wakishuhudia tukio hilo
 Mzee wa Masharobaro.


 nyomi.
 Mzee wa Kufloo,Godzilla
 Pichani kati ni msanii Shetta akiliongoza kundi lake  vilivyo.
 Diamond The Platinum pichani kati wakilishambulia jukwaa la fiesta na madansa wake.
 madensa wa Ommy Dimpo wakifanya vitu vyao.
 Mzee wa Madipo pozi kwa pozi a.k.a Ommy Dimpo jukwaani.
Linex
 Msanii wa bongofleva Amin na densa wake wakitumbuiza jukwaani.
Ulikuwa ni usiku wa kujiachia tuu na The Big Boss Rozzay.
 Mkali mwingine wa miduara AT na madansa wake wakilishambulia jukwaa.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Recho akiimba jukwaani na shabiki wake.
 Mashabiki wakitaka kuangusha uzio uliowekwa kwa ajili ya usalama.
 Baadhi ya Askari wakijaribu kuweka usalama wa kutosha kwa Mwanamuziki Rick Ross imara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Lidaz Club,kwa ajili ya kutumbuiza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 201.
 Viwanja vya Lidaz palikuwa hapatoshi hata kidogo.
 Mwanamuziki kutoka nchini Marekani,Rick Ross akijisikia furahaa kuwaona Watanzania wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwa ajili ya kumshuhudia yeye akikamua stejini.
Watu kibao wakiwa ndani ya viwanja vya lidaz club usiku huu.
Msanii wa miondoko ya rusha rohoo a.k.a Miduara,Shilole akijiachia jukwaani vilivyo na madansa wake usiku huu mbele ya umati mkubwa uliofika kwenye viwanja vya Lidaz Club,katika kuhitimisha kilele cha tamasha la Serengeti Fiesta 2012.
 
Source:http://fiesta2012.co/

0 Comments: