Hello mambo vipi,
Please pokea wimbo
mpya wa Msanii C-SIR MADINI (Sisa) ambayo leo ndio tunai release rasmi
kuanza kuchezwa katika radio stations. Video tayari ilitoka siku mbili
zilizopita.
The story behind the existence of this
song, ni kwamba kwanza ni wimbo ambao umeandikwa na kurekodiwa siku moja ilikuwa mwezi may
2012, baada ya hapo kazi ya umaliziaji wa beat pamoja na mixing ikaendelea kwa
takriban wiki 2.
Idea ya wimbo huu, title na lyrics zote
zimeandikwa na kidbwoy, na zina base katika chembechembe za true story
zinazomhusu muandishi wa wimbo huu.
Maana ya wimbo huu ni kwamba, C-sir amepata
kitulizo cha moyo wake ulioumizwa na mpenzi alietangulia, hivyo baada ya
kumpata mtu alieamini kuwa ndio tulizo la moyo wake, huyo ndio akawa Pain
Killer yake, lakini ni tofauti na pain killer zote unazozifahamu ambazo mara
nyingi huwa zina uchungu wakati wa kumeza. Tofauti ya Pain Killer ya C-sir na
Pain Killer za maumivu ya kichwa ni kuwa hii ni "PAIN KILLER/TAMTAM",
licha ya kumtibu lakini bado ni tamu.
Hii ni ngoma ya 3 kwa C-sir Madini kuachia,
baada ya KIFUNGO HURU iliyotoka kama single ya kwanza mwaka jana, iliyofuatiwa
na NISHIKE MKONO aliyoitoa mwezi January mwaka huu 2012.
Arist Nick name: C-SIR MADINI (Sisa)
Real Name: PETER MPONEJA
Birthdate: 07th may 1992
New release: PAIN KILLER
Written by: Kid bwoy
Produced by: Kid bwoy
Studio: Tetemesha Records
C-sir madini's mobile nos:
+255 756 829084
+255 712 719004
Thank you for your support.
Sandu George (Kid bwoy)
e-mail: sandumpanda@gmail.com
tetemesharecords@gmail.com
Mwanza,
Tanzania,
East Africa.
No comments:
Post a Comment