Thursday, September 2, 2010

NGOMA MPYA YA AY&MWANA FA- DAKIKA MOJA SASA WAMEIACHIA KATIKA VITUO VYA RADIO

Mzeeya Ambwene Yessaya na Mwana FA wameshaachia ngoma yao mpya inayokwendwa kwa jina la Dakika moja waliyomshirikisha Hardmad, ngoma hiyo ambayo waliaanza kuiachia katika mfumo wa Video na sasa wameachia katika Audio na wameshasambaza katika vituo mbalimbali vya radio hapa nyumba na nje ya nyumbani. Ngoma hiyo imetengenezwa ndani ya studio za B'Hits Music Group chini ya Producer Harmy B.

Track: DAKIKA MOJA
Artists:AY n" MWANA FA FEATURING HARD MAD
Produced By: HARMY B
Studio:B.HITZ MUSIC GROUP

0 Comments: