Tuesday, May 22, 2012

AY NA MARCO CHALI NDANI YA SOUTH AFRICA


Msanii Ambwene Yessaya(AY) na Marco Chali wako Africa ya kusini wakitengeneza video mpya ya mzeeya wa Commercial AY inayokwenda kwa jina la Party Zone ambayo yanaishoot ndani ya jiji la Johannesburg leo hii na kampuni ya Godfather ambao ndio watalaamu wanaowafanyiaga wasanii wakali wa Nigeria kama vile PSquare, D'Banj na wengine wengi. Hivyo mashabiki wasubiri mambo makubwa kutoka kwa AY.

0 Comments: