Pages - Menu

Monday, October 1, 2012

WIMBO 'WAANDISHI WA HABARI


Hello mdau,
WADAU mimi ni mwandishi wa habari, naandikia gazeti la Mwananchi,  naitwa Festo Polea (Polea), Jumatatu hii nafuraha kuusambaza wimbo wangu wa ''Waandishi wa Habari'' uanze kuchezwa katika vyombo vya habari na sehemu nyingine mnazoona unastahili lakini pia muuweke katika mitandao yenu mbalimbali ya kijamii lengo likiwa kuitaka jamii kuwakubali waandishi wa habari duniani kote na pia waweze kuwapa sapoti pale wanapohitaji ili kumrahisishia mwandishi asiingie katika wakati mgumu wa kuweza kukutwa na vitu vibaya.



No comments:

Post a Comment