Pages - Menu

Friday, October 19, 2012

Nyimbo mpya kutoka msanii wa Wanene Entertainment The Artist Po'Ah

 
 
Msanii wa Wanene Entertainment kutoka Marekani The Artist. Ambaye amefanya track ya Take Off pamoja na G Nako na AY amerudi na track yake mpya inaitwa Po'Ah iskilize hapo kwenye Soundcloud:


Soon pia nyimbo zake pamoja na C'Pwaa Godzilla, One The Incredible, Lord Eyez, na Mabeste inakuja.


...Wanene's In The House...

No comments:

Post a Comment