Wednesday, October 3, 2012

NEW VIDEO: C-SIR MADINI - PAIN KILLER



Hello mambo vipi, hii ni video mpya ya C-sir Madini ya wimbo wake mpya unaoitwa PAIN KILLER. Utaanza kuonekana kwenye TV stations siku si nyingi kutoka sasa, ila imekuwa released kwenye internet leo. Video imefanywa na Adam Juma na imefanyika Dar. Audio itafuata baada ya wiki moja.



--
Sandu George (Kid bwoy)

e-mail: sandumpanda@gmail.com

             tetemesharecords@gmail.com

Mwanza,

Tanzania,
East Africa.

0 Comments: