



Felly Kano amesoma katika chuo cha sanaa Bagamoyo mwaka 2008 na baadae akajiunga katika academy ya muziki nchini Kenya maarufu kama TUSKER PROJECT FAME SEASON II mwaka 2008. Kwa sasa anamiliki band yake inaitwa SONGWE MUSIC BAND anafanya classic music.…
No comments:
Post a Comment