
Round hii anakuja Hiphop Mc Sam JO toka pande za kwa mrefu arusha na pini la "tumekusoma" alorekodi pande za
noizmekah.com,project hii ni mojawapo ya ngoma ambazo kwa mwaka huu wa 2012 natarajia mashabiki wangu wanipokee,next project natoa itaitwa "watoto wa kibongo"
No comments:
Post a Comment