Sheezy &
Gsq toka Tengeru Arusha ambao kwa pamoja wanajiita "
Machafuzi Unit" wanakuja na track
yoa ya
kwanza kabisa inayokwenda kwa jina la "
Vita" walorekodi
vocals pande za
noizmekah.com chini ya defxtro na beat ikiwa ni mkono
wao wenyewe,Ngoma hii ya niondoko ya kughani inazungumzia maisha na
hustling za machafuzi katika game...Support sana kwa machizi wa
street arachuga
hiphop city mwanzo mwisho!!!ooooooi
No comments:
Post a Comment