WALIOSHINDA TUZO ZA KILI MUSIC AWARD 2012 KUFANYA ZIARA KUIBUA VIPAJI
Mshindi wa tuzo tatu za Kilimanjaro Music Award, Naseeb Abdul (Diamond)akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kuhusu ziara ya washindi wa tuzo hizo kuanza ziara ya kuibua vipaji vipya kwa vijana wa muziki wa kizazi kipya katika mikoa sita nchini.Kulia ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe,akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu ziara ya washindi wa tuzo za Kili Music Award 2012 kuanza ziara ya kuibua vipaji vipya kwa vijana wa muziki wa kizazi kipya katika mikoa sita nchini.Kushoto ni Mshindi wa Tuzo tatu za Kilimanjaro Music Award, Naseeb Abdul (Diamond)na Mratibu wa Tunzo za Muziki wa BASATA, Angelo Luhala
No comments:
Post a Comment