Kwa Habari mbalimbali za burudani usisite kuwasiliana nami kupitia email yangu ya rjulius54@yahoo.com, For any entertainment news please contact: email rjulius54@yahoo.com

Monday, February 27, 2012

Malfredy aomba Kura zenu

Ndugu zangu naombeni kura zenu,kuupigia wimbo bora wa Reggae Mazingira ft Lutan Fyah sms K1 kwenda 15747,wimbo bora wa Ragga Poyoyo sms M5 kwenda 15747 na Kudadadeki sms M4 kwenda 15747 na kwa internet tuma kwenda ktma@innovexdc.com au ingia katika kilitimetz.com au teentz.com...shukrani za dhati kwa washabik wa muziki wangu na wadau wote wanaonisupport Malfredy katika Zoezi hili

0 comments:

Post a Comment