Wednesday, January 13, 2010

Prezzo auza nyumba ya baba yake

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Kenya, Jackson Makini a.k.a CMP Prezzo ameuza nyumba ya marehemu baba yake kwa thamani ya shilingi milioni 5 za Kenya.

Prezzo kwa sasa familia yake fedha alizouza hi nyumba azirudishe kwani hazina thamani ya ya nyumba hiyo na kwamba thamani yake ilikuwa ni shilingi milioni 10 ya Kenya ambayo nyumba hiyo ipo maeneo ya Mathare norh na familia yake hajarizishwa na maamuzi aliyofanya na sasa wanataka kumpeleka mahakamani kama hatafanya utaratibu ya kuziridisha fedha hizo.

Msanii huyo kwa mwaka jana hakusikika kabisa katika vyombo vya habari ila kwa hali hii atakuwa akisikika sana katika vyoimbo vya kutokana na ishu yake inayoendelea.

0 Comments: